All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Guinea vs Tanzania Live Football Match
Taifa Stars
vs South Africa Live Today
Yanga Pre Season
Live Kwa Mkapa Chan Leo
Taifa Stars
Gereza Aliyofungwa Lambo Gwantanamo
Ivory Coast vs Zambia Today
Yanga Leo Wakitoa Taalifa Leo Live
Taifa Stars
Goli La Saimon Msuva
Jules Ari Bodi
Stars
vs Guinea
Mechi Za 10 04 25
How to Join
Stars of Africa
Moroco SE Negar Live in TBC
T I DFT Markia Karne
Star
Chasers of Senegal 2023
Match Ya Simba
Jana
Game Between Ithopia an Senegal
Ndondo Za Michezo
Mechi Za
Jana Ulaya
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Guinea vs Tanzania Live Football Match
Taifa Stars
vs South Africa Live Today
Yanga Pre Season
Live Kwa Mkapa Chan Leo
Taifa Stars
Gereza Aliyofungwa Lambo Gwantanamo
Ivory Coast vs Zambia Today
Yanga Leo Wakitoa Taalifa Leo Live
Taifa Stars
Goli La Saimon Msuva
Jules Ari Bodi
Stars
vs Guinea
Mechi Za 10 04 25
How to Join
Stars of Africa
Moroco SE Negar Live in TBC
T I DFT Markia Karne
Star
Chasers of Senegal 2023
Match Ya Simba
Jana
Game Between Ithopia an Senegal
Ndondo Za Michezo
Mechi Za
Jana Ulaya
1:11
Baada ya timu ya taifa ya Taifa stars kukubali kipigo cha goli 1-0 jana katika mchezo wa 16 bora #AFCON dhidi ya Morocco,leo baadhi ya mashabiki wametoa maoni yao. Yapi maoni yako juu ya mchezo huo? 🎥:| #lijei_worldwide Powered by: @mandasistore ___________________________________ 🎤&✍️|#Mickydady_29 #7mediasports🏁 | SevenMedia Tanzania
1.3K views
4 months ago
Facebook
SevenMedia Tanzania
2:13
JANA TAIFA STARS TULIWASUMBUA NIGERIA. Mchambuzi @salumumnolela anasema mpango wa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Nigeria ulikuwa mzuri licha ya kufungwa goli 2-1 na Nigeria maana pia tuliwasumbua Super Eagles. Cc: @iddynonga_ @salumumnolela @abissay_stephen #10TVE #KICKOFF1 #AFCON2025MOROCCO | TV-E
169 views
4 months ago
Facebook
TV-E
1:47
Ni Taifa Stars dhidi ya Uganda The Cranes Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', muda mfupi ujao leo Desemba 27, 2025 itashuka dimbani kucheza mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi dhidi ya Uganda "The Cranes" katika michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) nchini Morocco. Timu hizi zinazotoka Ukanda wa Afrika Mashariki zinakutana huku kila mmoja akihitaji kupata ushindi ili asonge mbele katika msimamo wa kundi C baada ya wote kupoteza mchezo wao wa kwanza ambapo Tanzania ilipoteza 2-1 dh
2.7K views
4 months ago
Facebook
TBConline
2:04
#Kipenga @nsajigwa_senior anasema kuwa siku ya jana Taifa Stars ilikuwa na kiwango kizuri tofauti na Stars ya miaka ya nyuma, ambapo kwenye mechi ya Jana Stars ilifanikiwa kupiga pasi nyingi sana kwenye eneo la Morocco kuliko pasi walizopiga Morocco kwenye eneo la Stars. #Kipenga #EastAfricaRadio | East Africa Radio
1K views
8 months ago
Facebook
East Africa Radio
0:19
Ingawa Taifa Stars jana ilipoteza kwa goli 3-0 dhidi ya Morocco ila bado Shirikisho la soka Afrika (CAF) limeukubali uwezo wa golikipa wa Stars, Aish Manula baada ya kufanya save moja nzuri sana iliyowaokoa Stars. CAF wamekubali uwezo, wewe je?? . #planetfmtz | Ally Almas
43.9K views
7 months ago
Facebook
Ally Almas
5:05
SHABIKI SOSHO | Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, imeendelea kujizolea mamilioni kufuatia ushindi mwingine walioupata jana dhidi ya Mauritania (0-1) raundi ya pili hatua ya makundi kwenye michuano ya CHAN 2024. Vingozi mbalimbali wakiongozwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma wamekabidhi “kitita” cha shilingi milioni 55 kwa Stars. Imeandaliwa na @jairomtitu3 #CHAN2024 #CHAN2024 #Tanzania #TaifaStars | AzamSports
2.9K views
9 months ago
Facebook
AzamSports
3:53
#VIDEO: Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ikiwasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ikitokea Morocco, ambako ilishiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Stars imerejea ikiwa na heshima ya kuandika historia kwa kufika hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza, licha ya kuondolewa na wenyeji Morocco kwa kipigo cha bao 1-0. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M -Pesa, Halopesa, kwen
30.9K views
4 months ago
Facebook
ITV Tanzania
3:30
MAPOKEZI YA TAIFA STARS: Tazama ndege iliyobeba msafara wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ilivyotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam. Taifa Stars inawasili ikitokea Morocco kwenye fainali za #AFCON2025 (Imeandikwa na @allymufti_tz) #Viwanjani | AzamSports
502.4K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
1:44
#KipengaXtra Shabiki wa Taifa Stars, @akilimalimakame21 anasema kuwa kwa kikosi cha jana cha Yanga lazima Simba wataenda kusajili upya tena. #KipengaXtra #EastAfricaRadio | East Africa Radio
21.3K views
9 months ago
Facebook
East Africa Radio
2:54
MAPOKEZI YA TAIFA STARS: “Timu itawasili majira ya saa sita mchana” Afisa Michezo kutoka Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Charles Maguzu akitoa ratiba ya kuwasili kwa kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo inatokea Morocco kwa ndege maalumu iliyotolewa na serikali. Timu ya #AzamTV ikiongozwa na mtangazaji @ngodaalwatan imekita kambi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam kwa ajili ya kukujuza kila kitu. (Imeandikwa na @allymufti_tz) #Viwanjani | A
10.3K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
2:30
Kuelekea mechi kati ya Taifa Stars) na Uganda The Cranes, Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali waliotoa ahadi ya kutoa shilingi milioni 100 kwa kila bao litakalofungwa dhidi ya Uganda kesho Desemba 27 na dhidi ya Tunisia Desemba 30. Aidha, Watanzania hao wameahidi kutoa jumla ya shilingi milioni 300 endapo Taifa Stars watafanikiwa kupata alama tatu katika kila mchezo kwenye mashindano ya AFCON yanayoendelea nchini Moro
6.3K views
4 months ago
Facebook
TBConline
5:01
STARS YAMSHTUA MPENJA: Mtangazaji wa soka @baraka_mpenja anasema kiwango cha Taifa Stars dhidi ya Nigeria kimemshtua hata yeye. Mpenja ambaye jana ndiye aliyetangaza mechi kati ya Nigeria dhidi ya Stars, anasema Tanzania iliweza kutengeneza nafasi na kutoa pongezi kwa Kocha Miguel Gamondi. Mwamba huyo wa Umalila anasema Uganda wajipange, ‘tai zitavutwa’ Mpenja leo anatangaza mechi kati ya Burkina Faso dhidi ya Equatorial Guinea saa 9:30 alasiri LIVE #AzamSports1HD (Imeandaliwa na @allymufti_tz )
9.1K views
4 months ago
Facebook
AzamSports
4:25
#KufuzuAFCON: “Jana timu ilicheza vizuri” maneno ya mchambuzi wa soka @rashidy_hamis akizungumzia kiwango kilichooneshwa na Taifa Stars jana kwenye mchezo wa #KufuzuAFCON2025 dhidi ya DR Congo. Timu hizo zitarudiana Jumanne ya Oktoba Oktoba 15, 2024 saa 10:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa. Ni kupitia kipindi cha #Viwanjani ambacho kiliongozwa na @kidedeaiddy (Imeandaliwa na @allymufti_tz) #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ2025 #MtoCongo #TaifaStars #Tanzania #CongoDR #DRCongo #CongoDRTanzania #DRCT
6.1K views
Oct 11, 2024
Facebook
AzamSports
56:11
#LIVE Taifa Stars Watinga Ikulu | Hafla ya Kuwapongeza Wanamichezo Mbalimbali
376 views
4 months ago
YouTube
Dimbani Konekti
0:25
GOLI LA TAIFA STARS JANA MECHI YA UGANDA NA TANZANIA
7 views
4 months ago
YouTube
G wiser online tv
1:56
"TANZANIANS WEAR THE STARS NATIONAL JERSEY, THIS IS NOT THE JERSEY OF SIMBA, YANGA OR AZAM FC" MA...
79 views
4 months ago
YouTube
RadioOne Tanzania
2:58:11
🔴Tanzania vs Liechtenstein Live | FIFA Series 2026 | eFootball PES 21 Simulation
14.5K views
1 month ago
YouTube
RMO
49:32
🔴#LIVE: TAIFA STARS (0) (0) LIECHTENSTEIN (FIFA SERIES INTERNATION)
18K views
1 month ago
YouTube
SDP UPDATES
0:43
tazama taifa stars walivyovaa medal baada ya ushindi wa goli sita 😂😂😂
11 views
1 month ago
YouTube
MFARISAX SPORTS
1:14
Azam Sports on Instagram: "#AFCON2025 | Taifa Stars ilivyopasha misuli jioni ya jana tayari kukabiliana na Morocco leo kwenye mechi ya 16 bora itakayopigwa katika dimba jipya la Prince Moulay Abdellah saa 1:00 jioni."
2.1K views
4 months ago
Instagram
azamtvsports
0:34
𝐏𝐌𝐓𝐕 on Instagram: "Risiti za Wachambuzi. Clip ya kwanza, ni maoni ya @abdulmkeyenge1 kabla ya mchezo wa jana kati ya Taifa Stars dhidi ya Nigeria. Clip ya pili, ni maoni ya @abdulmkeyenge1 baada ya mchezo wa jana kati ya Taifa Stars dhidi ya Nigeria. Hao watu wawili wakikutana watauana😂 Usikose kufuatilia kipindi cha #SportsGear kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kupitia YouTube Channel yetu ya PMTV TANZANIA. Host; @therealbertha2 & @_kaynahtz Analysts; @juma_shabani95 @asap_raymoo na @abdulmk
25.9K views
4 months ago
Instagram
pmtvtz
0:40
Isaiah Gotham on Instagram: "Taifa Stars inaenda Afcon nchini Morocco 🇲🇦 na katika kikosi cha timu ya taifa yupo mfungaji namba mbili wa muda wote wa timu ya taifa @smsuva27 anaenda kusaka Rekodi kama atafunga mabao matatu atamfikia ngassa Rasmi. Lakini pamoja na ubora mkubwa na uwezo mkubwa wa Simon Msuva kwenye familia yao kuna kipaji singing kikubwa zaidi yupo Azam FC ya vijana anajua sana ball anapiga chenga ana kasi na anajua sana kufunga. Mabibi na mabwana namleta kwenu @msuvajr7 winga a
220.5K views
5 months ago
Instagram
isayahdede
0:07
SAUTI ONLINE TV on Instagram: "Aliyewahi kuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Adel AMROUCHE amewahi kunukuliwa akisema kwamba, Morocco wanatoa hongo Shirikisho la mpira Afrika CAF ili kupata matokeo matokeo mazuri zaidi. Mara Baada tu ya kauli yake hiyo CAF walimfungia AMROUCHE michezo 8 na faini ya pesa, Tff Nao wakamuondoa kazini Adel... Kazini kocha huyo. Je kwa kilicho onekana Jana Taifa stars dhidi ya morrocco kocha Adel alikuwa ana hojaa asikilizwe....! @didasolang"
27.5K views
4 months ago
Instagram
sauti_online
0:30
Taifa Stars: Tanzania's Journey in AFCON 2025
240.7K views
4 months ago
TikTok
caf_online
3:01
millardayo | Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imewasili nchini ikitokea Morocco kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)... | Instagram
26.9K views
4 months ago
Instagram
millardayo
0:56
Taifa Stars vs Morocco: Key Penalty Incident Analysis
251.9K views
4 months ago
TikTok
crian_fanspage
1:59
Hawa hapa wanaume wa taifa ... #Noma #TaifaStars
13.1K views
4 months ago
TikTok
jairomtitu280
1:37
Msuva Aweka Rekodi Mpya wa Magoli Taifa Stars
655 views
4 months ago
TikTok
officialjocktan
0:22
Taifa Stars: Waandishi Washuhudia Mazoezi Gymkhana
36K views
1 month ago
TikTok
tanfootballofficial
11:32
Tamko la Mbarikiwa kuhusu Taifa Stars
4.1K views
4 months ago
TikTok
martine.james5
See more
More like this
Feedback