DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi ...
ARUSHA: DIWANI wa Viti Maalum Tarafa ya Suye mkoani Arusha, Michelle Mrema, amewataka wanawake nchini kuendelea kuwa walezi ...
MOROCCO; Simon Msuva mfungaji wa bao la Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo dhidi ya Uganda (The Cranes) uliofanyika Desemba ...
MOROCCO;MOROCCO; PICHA za matukio mbalimbali mchezo wa Kundi C fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kati ya Uganda ...
IRINGA: Bonanza kubwa la michezo lililoandaliwa na Mbunge wa Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, lijulikanalo kama Ngajilo Bonanza ...
MBEYA: Hatua ya Bodi ya Maji Bonde la Rufiji kupitia Mradi wa NBS–USANGU kuanza urejeshaji wa mito iliyopoteza mwelekeo wake ...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ametoa mwito kwa Watanzania kulinda amani na kudumisha upendo, kwani vimeleta ...
MWAKA 2025 unamalizika na hivi karibuni tunaukaribisha Mwaka Mpya wa 2026. Ni desturi ya wengi kuwa na shamrashamra za hapa ...
MWENYEKITI wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Mkoa wa Dodoma, Mchungaji Eliya Mathayo amewaomba wazazi na walezi ...
MWANAMKE aliyefahamika kwa jina la Joyce Mwasumbi, mkazi wa Kijiji cha Kanazi wilayani Nkasi mkoani Rukwa amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia kitenge chumbani kwake. Akizungumzia tukio hil ...
SEKTA ya utalii Tanzania imepata ongezeko la asilimia tisa ya idadi ya watalii katika kipindi cha miezi 11 ya kwanza ya mwaka ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa hakuna neema kubwa zaidi ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results