Takriban watu kumi wameuawa kwa kupigwa risasi katika kituo cha elimu ya watu wazima nchini Sweden, katika mji wa Örebro, ...
Miili ya wanajeshi kumi na wanne wa Afrika Kusini waliouawa katika kipindi cha wiki mbili zilizopita wakati wa kutekwa kwa ...
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki 27 Januari 2025 ...
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki 29 Januari 2025 ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO hufanya kazi kwenye mstari wa mbele wa masuala ya afya katika zaidi ya maeneo ...
BODI ya Chai Tanzania (TBT), imekutana na wadau wa zao hilo nchini kwa lengo la kujadili namna ya kukabiliana na changamoto zinazo wakwamisha. Baadhi ya changamoto zilizotajwa kukwamisha ni pamoja na ...
WACHEZAJI wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani wamebainika huku Ligi Kuu England (EPL), ikiendelea kutawala. Kampuni ya ...
TAKRIBAN watu 10 wameuawa kwa risasi katika shambulio lililotokea katika Kituo cha Elimu cha Risbergska kilichopo katikati ...
Maeneo mengi nchini Japani yanakumbwa na mkusanyiko wa hewa ya baridi kali ya msimu. Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa inatoa wito kwa watu kuchukua tahadhari. Miji katika kisiwa cha kaskazini cha Ho ...
Maafisa wa Wizara ya Sheria nchini Marekani wamewafuta kazi waendesha mashitaka kadhaa waliozishughulikia kesi za jinai zilizomkabili Rais Donald Trump.
Karibu saa kumi alfajiri, wapandaji walianza kuelekea kileleni. Walivaa helmeti kujikinga na upepo mkali karibu na kilele. Wengine walipata ugonjwa wa mwinuko njiani. Kundi linaloongozwa na ...
Mwanamuziki Diamond licha ya kufanya vizuri kwa miondoko na midundo mbalimbali ya muziki. Lakini mashairi ya kunung'unika ...