SERIKALI ya Marekani imetuma kundi la kwanza la wahamiaji katika kizuizi cha Guantanamo Bay baada ya Trump kutangaza ...
Matokeo ya mchezo wa kwanza Simba ilipokuwa nyumbani ilishinda 4-0 dhidi ya Fountain Gate kupitia wafungaji Edwin Balua, Steven Mukwala, Jean Charles Ahoua na Valentino Mashaka.
TAKRIBAN watu 10 wameuawa kwa risasi katika shambulio lililotokea katika Kituo cha Elimu cha Risbergska kilichopo katikati ...
Tangu enzi na enzi hakuna wakati unaotajwa kuwa mbaya zaidi ya wakati wa utumwa. Mtumwa hutimbika kwa faida isiyo yake, ila ...
Mwanamuziki Diamond licha ya kufanya vizuri kwa miondoko na midundo mbalimbali ya muziki. Lakini mashairi ya kunung'unika ...
Miili ya wanajeshi kumi na wanne wa Afrika Kusini waliouawa katika kipindi cha wiki mbili zilizopita wakati wa kutekwa kwa ...
Takriban watu kumi wameuawa kwa kupigwa risasi katika kituo cha elimu ya watu wazima nchini Sweden, katika mji wa Örebro, ...
Maeneo mengi nchini Japani yanakumbwa na mkusanyiko wa hewa ya baridi kali ya msimu. Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa inatoa wito kwa watu kuchukua tahadhari. Miji katika kisiwa cha kaskazini cha Ho ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamilisha upelekaji wa umeme kwenye vijiji vyote 12,318 nchini na ...
Binti mrembo cheupe ambaye ukimwangalia unaweza kusema ni Mwarabu ameolewa na wanaume wawili na sasa amekutana na boifrendi ...
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki 29 Januari 2025 ...
Maafisa wa Wizara ya Sheria nchini Marekani wamewafuta kazi waendesha mashitaka kadhaa waliozishughulikia kesi za jinai zilizomkabili Rais Donald Trump.