Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amelaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoripotiwa kuendelea nchini Tanzania, akisema vinaathiri kwa kiasi kikubwa taswira ya taifa kimataifa na ...